NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA KWANZA 2024 HAGAFILO SEKONDARI NJOMBE.
Kufuatia maboresho ya mitaala ya Elimu iliyofanywa na serikali. Kwa kurejelea waraka wa Elimu namba 5 wa mwaka 2023 kuhusu utekelezaji wa mitaala iliyoboreshwa. Hagafilo Sekondari ni shule pekee iliyoteuliwa na serikali katika Mkoa wa NJOMBE miongoni mwa Shule chache nchini Tanzania kufundisha ufundi wa umeme wa viwandani na nyumbani.
Mkuu wa Shule ya Sekondari Hagafilo anawakaribisha Wazazi,Walezi na Wanafunzi kutumia fulsa hii muhimu na adhimu sana kwa vijana wa kike na kiume kusomea utaalamu wa umeme kuanzia kidato cha kwanza 2024.
Shule ya Sekondari Hagafilo ni Shule ya bweni kwa wasichana na wavulana, yenye walimu wa kutosha, wenye elimu na taaluma bora,weledi na ari ya kumsaidia mwanafunzi,pia ni shule yenye mazingira bora na tulivu kwa kusoma na kujifunza.
Fomu za kujiunga zinapatikana shuleni Hagafilo au bofya .
Watakao wahi ndiyo watakaopata nafasi. Wahi nafasi ni chache.
Kwa mawasiliano zaidi
Mpigie Mkuu wa Shule kwa Namba : 0758-396202.
staff mashuhuri kwenye picha ya pamoja na mkuu wa chuo Mr. Octavian Chongolo (alieshika notebook)
Download Joining instructions
Form ya kujiunga na chuo kwa mafunzo ya malezi ya elimu ya watoto
Department of Records Archives and Information Management
The department was designed to produce competent personnel able to create and use records efficiently. The programme produces graduate who are registry, records and archive managers who will be acceptable by the community.
The department has two programmes
- Diploma in Records, Archives and Information Management
Entry qualification: The applicant shall be the holder of an advanced Certificate of Secondary Education Examination (ACSEE) or Equivalent: and he /she has obtained with at least one principal pass and subsidiary in relevant subjects in the ACSEE.
- Certificate in Records, Archives and Information Management
Entry qualification: A candidate shall be eligible for consideration for admission to certificate in Records, Archives and information Management programme if: He/she has obtained a certificate of Secondary Education Examination (CSEE) and has four passes in non-religious subjects.